Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kushirikiana na chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT) na tume ya ushirika inatengeneza muongozo utakaoweza kuwasaidia wafugaji kupata mikopo kwenye vikundi vya wafugaji
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Bw. Tixon Nzunda ameitaka Wakala ya Elimu ya Mafunzo ya Mifugo nchini (LITA) kuwa chanzo cha elimu bora ya mifugo ndani na nje ya nchi.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki ametoa wito kwa Wakala wa Vyuo vya mafunzo ya mifugo (LITA) kuongeza wigo wa utoaji Mafunzo kwa wafugali ili wawe na mtizamo wa kufuga kisasa na kupata faida zaidi.
ULEGA AWATAKA WAFUGAJI PWANI KUVUNA MIFUGO YAO